uchi wa wanawake wa kinyarwanda
Kuna wanawake mashuhuri walio na mvuto na shepu nzuri haswa wanapovalia bikini. Shepu hizo ni matokeo ya mazoezi, kufuata ratiba nzuri ya mlo na jeni nzuri walizorithi kutoka kwa wazazi wao. TUKO.co.ke imekutayarishia orodha hii.
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sababu za msingi kubezwa ni kwamba hawazingatii maadili ya heshima ya Kitanzania ndani ya filamu zao, kila kitu wanataka kuweka hadharani hata mambo ya faraghani.
Kweli kabisa ndugu yangu, kwa mfano huyo Shangazi Ezekiel vitu vyake vya faragha anavianika hadharani.
waache mashauzi bana sielewi kwanini wasanii wengi bongo wakipata umaarufu wanataka walambwe miguu, hiyo yao ni kazi pia kama kazi za wengine heshimu kazi yako na ifanye kwa bidii utafika mbali usitake sifa za kijinga hazikufikishi popote!!!
ni kweli usemayo mdau wa sokoni kariakoo, heshima na utamaduni wetu lazima tuulinde, tusifate mambo ya nje
Wanajiona kama kina brad pitt kwi wi kwiiiiii…….
ishu sio kama wasanii wa kibongo wanabezwa ukweli ni kwamba hawazingatii weledi "professionalism"katika kazi wanazofanya.
KUMBUKA, MANABII WENGI WALIBEZWA NA KUKATALIWA MAKWAO KULIKO HATA UGENINI. MUHAMMAD SAW ALIDIRIKI KUKIMBIA KWAO MECCA NA KUPOKELEWA KWA MOYO MKUNJUFU UGENINI MEDINA.
Hawa akina Kanumba hawapaswi kushangaa na kujiuliza kwanini Tanzania wanaonekana ni watu wa kawaida tu pamoja na kwamba wao wanajiona ni masupastaa wanaopaswa kusujudiwa na kila mtu. Hata Nigeria waigizaji kama Ramsey Nouah wanaonekana ni watu wa kawaida tu na hakuna anayewashangaa wanapotembea mitaani. Ni jambo la kawaida kwa waigizaji na wasanii wengine kuwa maarufu zaidi nje ya nchi zao.
Wanaowabeza wasanii wetu wa Tanzania na kazi zeo eidha za tasnia ya filamu au muziki na kadhalika wanatatizo la kuwa na ROHO MBAYA zilizojaa chuki dhidi ya maendeleo ya wenzao. Maana kama ni kweli kazi za wasanii wetu hazina ubora mkubwa mbona wana nchi wa Rwanda wameonekana dhahiri kuzikubali kwa kuwapokea wasanii wetu wa kazi hizo kwa heshima kubwa kiasi hicho sawa na namna ambavyo hupokelewa wasanii wa Marekani na Ulaya wenye umaarufu wa kimataifa wanapotembelea nchi za kigeni?. Hapana, nyie mnaowabeza wasanii wetu acheni kuwabeza kwani kupokewa kwao vizuri sana namna hiyo Rwanda kumekuumbuweni. Ukweli usiyojificha ni kwamba kazi za wasanii wetu ni nzuri sana na zina ubora wa kimataifa ambao hata kama ni kushindana zinaweza sana kuchuwana vikali na zile za wengine wa Marekani na Ulaya na wakati mwingine hata kuzishinda baadhi yake. Ni kweli kwamba bado wasanii wetu wanapungukiwa na uwezo wa kipesa wa kuhusisha vifaa vya gharama kubwa kubwa sana katika tasnia zeo tatizo ambalo litakwisha tu kwa kuwa tasnia yao imeanza kuwatoa vizuri kifedha na hata Serikali yetu inaweza kuwasaidia inapobidi kwa kuwa tayari imekubali mchango wao mkubwa kitaifa na kijamii, lakini kwa upande wa uwezo (physical capabilities) na vipaji (talents) za kufanya tasnia zao hizo kwa kweli wasanii wetu wanafanana na wasanii wengi wa nchi za nje wenye umaarufu wa kimataifa na wengine wao hata wanawapita. Nakuombeni tupende kazi za wasanii wetu na kama kuna kasoro fulani fulani wasanii wetu wataonekana kuwa nazo au kuzifanya basi ni busara kuwasilisha kasoro hizo vizuri (kwa maneno mazuri) kwa wasanii husika ili wajirekebishe na siyo kuwavunja moyo na kuwakatisha tamaa kwa kuwatamkia maneno mabaya. ENYI MNAOWABEZA WASANII WETU NA KAZI ZAO ACHENI ROHO ZA KICHAWI.